How to carefully handle your smartphone
*make sure mfukoni mwako unapoweka simu Hamna coin kuepusha screen ya simu kuwacna scratch
*make sure wakati unatumia simu yako mokono iwe mikavu kwa sababu maji yanaweza pelekea electric shock
*make sure unaifuta screen ya simu yako pibdi inapokuwa chafu kwa kutumia kitambaa kikavu
* ibebe simu yako kwa uangalifu kuepusha kuanguka inaweza pasuka screen
*kumbuka kuweka Glass screen protector kuzuia simu yako kupasuka screen haya kama itaanguka bahati mbaya
*kuweka cover ya simu ni njia mojawapo ya kuikinga simu yako na external contact zinazoweza kuiletea madhara
*set wallpaper nzury kuipa simu yako muonekano mzury
*kumbuka kucharge simu yako Mara tu inapokuwa na charge below 15% na usicharge simu all the way to 100% unaua battery
*Epuka kuweka simu yako maeneo yenye wezi wengi na vibaka.
*kumbuka kuweka security kwene simu nenda SETTING→SECCURITY→MAKE PATTERN
*Kumbuka kuienable android device manager in case imepotea unaweza kuilock au kufuta kila kitu kwenye hiyo simu
*kumbuka google account yako kwenye simu inaumuhimu sana
*epuka kuwapa watoto wachezee simu wanaweza haribu
*usipende kuifungua fungus simu yako.
*usipende kuinstall vitu ambavyo haviko approved unaweza ukaingiza virus kwenye simu
Ahsante kwa Leo tuishie hapo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Got yo bro
ReplyDeletepamoja kaka
DeleteUr welcome bro
ReplyDelete